Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,020
- 28,069
Hayupo sasa, kwanini tukae kumzungumzia?Ametuchelewesha sana. Safi sana E10H
Yeye ndiye sababu hatujachukua kombe lolote tangu 2017?
Hayupo sasa, kwanini tukae kumzungumzia?Ametuchelewesha sana. Safi sana E10H
Kwa mujibu wa Akanji, Bruno alishout kumwambia Rashid auache (asiguse mpira) mpira.Sure thing,The best thing yule beki wa city angefanya ni kumchezea rafu rashford badala yake akafanya assumption refa ataona offsude,Bruno amefanya vzr kwa kukimbia bila kuwaza offside ya Rashford (alikua anawaza filimbi tu ndo ingemzuia),It shows fighting spirit ipo juu sana.
Rekodi za karibuniArsenal Wana timu nzuri ok, wako na form nzuri ok , ok !
Wanadhani wanaweza kuifunga utd kirahisi? Tangu enzi na enzi, arsenal kwetu wachumba tu,, hata tuwe wabovu vp tunawapiga !
Recently tuna form nzuri, morale ya wachezaji iko juu Sana ,,,, why tusiwapige pale pale kwao ?
Before arsenal tuna game muhimu na palace, najua ETh hatotaka Mambo ya rotation ataweka full mkoko, tuombe tusipate injury kwa key players ili isiathiri game na Gunners !
Naomba hii quote iwekewe starKaribuni Emirates. Mje kimya kimya ama Kwa matarumbeta ni juu yenu sisi tunawasubiri. Cha muhimu mfike na mbaki mpaka shughuli iishe.
Hamtaamini ! We better waitCry more
Tutawapigia hapo hapo selben kwenuRekodi za karibuniView attachment 2483113
[emoji23][emoji23] sema naombe city apigwe na Spurs alhamisTutawapigia hapo hapo selben kwenu
Siku hizi wako fresh kinoma, lakini sio kwetu.Hii sijaielewa. Najua tuna kanuni zetu za ushindi. Lkn hii ya asernal kuji assure wattatupiga point tatu sijaipata vema, Wana uwezo Gani maana mm hata mechi zao siangaliagi.
Kumbuka kua nyinyi ni kama misukule yetu vile, tunawafanya tutakavyo.Emirates Kuna atmosphere Kali , pia huwa tunafungulia Busta Zote sababu ya sapoti ya mashabiki , wachezaji wanakimbia Sana , flow ya pass huwa Ni kubwa Sana .
Kaangalie mechi ya Arsenal vs Newcastle iliyoisha 0-0
Alikuja na 4-3-3 tupishane , walipoona Moto unakuja tu ,for the first time Newcastle wakabadili mfumo 5-4-1 , na kupoteza muda ndipo wakapata Draw
Silaha yenu Ni kaunta attack tu, hamna uwezo wa kubattle Midfield , kimbembe kitaanzia hapo .
Tangu wakupime oil kule gesti uwekuwa wa hovyo sanaHahaha mchizi boti umerejea..litimu lako likifanya vizuri kidogo ndio unaonekana. Au muda wote unakuwa shimoni nini 😀😀😀
3-1Karibuni Emirates. Mje kimya kimya ama Kwa matarumbeta ni juu yenu sisi tunawasubiri. Cha muhimu mfike na mbaki mpaka shughuli iishe.
Weka head to head kwa hii misimu mitano kaka tuone nani mchumba tafadhaliArsenal Wana timu nzuri ok, wako na form nzuri ok , ok !
Wanadhani wanaweza kuifunga utd kirahisi? Tangu enzi na enzi, arsenal kwetu wachumba tu,, hata tuwe wabovu vp tunawapiga !
Recently tuna form nzuri, morale ya wachezaji iko juu Sana ,,,, why tusiwapige pale pale kwao ?
Before arsenal tuna game muhimu na palace, najua ETh hatotaka Mambo ya rotation ataweka full mkoko, tuombe tusipate injury kwa key players ili isiathiri game na Gunners !
Ni kwa sababu mashabiki wao wote wana kelele ndio maana upinzani unakuwa mkaliNimemis enzi Zile Ubingwa unafukuziwa na Man u & Arsenal tu,
Ile miaka ilikuwa Ina vibe sana
This is what i told these losers here, casemiro ni defender, sio kiungo, yule ni centre back.[emoji1787][emoji1787]
Maguire, Bailly, Telles, Williams, Martial hawa kwa pamoja hatukosi pound 100M majira ya kiangazi.timu haina hela, kuna tetesi tusipofuzu UCL itabidi tuuze dirisha lijalo, hakutakua na usajili mkubwa