Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,274
- 4,511
Uzuri kocha anapanga kikosi kutokana na game wanayoenda kucheza kwann hakumweka Martinez Jana sababu alijua dogo bado sio masta wa kucheza na jukwaa all in all tumeshinda na tutashindwa na mwisho wa ligi hawata amini kuwa Manchester United ame............Subiri mechi ijayo kama utamuona huyo na fred.