Dah wanakera sana mkuu, walikua wapi siku zote ndio wanaanza kujiona mastaa wa kukaa top 4..mbaav!Hawana sumu hao.
Kwanza wako juu mchezo mmoja.
Kuendelea kupata vichekesho Kama hivi tubonyeze ngapiHivi nyie manyumbu mngekua na Partey sijui tungeishi vipi sisi.
Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!
Nipo karibu na mdau wa livekuku hapa amekubali kua huyo jamaa ni bonge la kocha.Erik ten Hag has beaten Pep Guardiola, Jurgen Klopp, Antonio Conte and Mikel Arteta in his first six months at Man United.
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2481396
Huyo hata bure haitajiki United.Hivi nyie manyumbu mngekua na Partey sijui tungeishi vipi sisi.
Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!
Tunataka aanze uyu jumapili
Hivi nyie manyumbu mngekua na Partey sijui tungeishi vipi sisi.
Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!
Ashukuriwe aliyekataa kumwajiri Conte kuinoa Utd, jamaa kawa "mweupe sana".
Sunday next week tunazika humu humu au tunasafirisha ?jiandaeni kisaikolojia tutawaacha Uchi,first game Partey hakuwepo and now on counter attacks tunajua jinsi ya kuzizuia tutawararua mtajuta kuja Emirates mtajuta
Mkuu hapo siwezi kukuelewa kirahisi, uwezo wa Chicharito, Rafaeli na Van Persi unaeleweka pale united. Swala la kutofanya vizuri huko walikoenda hii kwangu sio hoja.sababu hajapewa watu wake anaowataka, in real life mpira sio kama Fifa na Pes unachukua timu unacheza,
LVG alikuwa wazi kabisa anataka nini na hakupewa anachotaka so akachukua hao watoto. LVG ana UEFA ubingwa wa La liga, Bundesliga, Ligi yao uholanzi etc. katoa malegend kibao, hajaanza ukocha na UTD.
angalia wachezaji walioachwa na LVG kama Rafael, Nani na wengineo walifanya nini walivyoondoka UTD? si tu timu kubwa hazijawataka, hata hizo ndogo hawakucheza vizuri.
Emirates Kuna atmosphere Kali , pia huwa tunafungulia Busta Zote sababu ya sapoti ya mashabiki , wachezaji wanakimbia Sana , flow ya pass huwa Ni kubwa Sana .Hii sijaielewa. Najua tuna kanuni zetu za ushindi. Lkn hii ya asernal kuji assure wattatupiga point tatu sijaipata vema, Wana uwezo Gani maana mm hata mechi zao siangaliagi.
Duh Kwa hiyo kijana unataka kusema hii mech na man city ilikuwa Cha mtoto??Emirates Kuna atmosphere Kali , pia huwa tunafungulia Busta Zote sababu ya sapoti ya mashabiki , wachezaji wanakimbia Sana , flow ya pass huwa Ni kubwa Sana .
Kaangalie mechi ya Arsenal vs Newcastle iliyoisha 0-0
Alikuja na 4-3-3 tupishane , walipoona Moto unakuja tu ,for the first time Newcastle wakabadili mfumo 5-4-1 , na kupoteza muda ndipo wakapata Draw
Silaha yenu Ni kaunta attack tu, hamna uwezo wa kubattle Midfield , kimbembe kitaanzia hapo .
Ikibeba ndoo ndio tuta conclude..mapema Sana kusemaSio wapuuzi. Uwezo wao ni huo, wamekutana na timu bora