Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
Mkuu sio kulia lia, it was a banter to wind Chelsea fans up.You're bigger than this mkuu....huwezi kuanza biashara ya kulialia na wewe kila siku kwa kitu kilekile kwa sababu tu refa mmoja kawapa decision Chelsea mara mbili.....it's not like ManU huwa hawazipati hizo decisions.....aaarrrrgghhh inaboa sasa, give it a rest.
Hapo kwenye nuksi tuko pamoja, angalau mwaka huu kulikuwa hakuna controversy nyingi ukiondoa penalty kwenye game ya kwanza.