• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Belo
Reaction score
6,620

Profile posts Latest activity Postings About

 • Ab-Titchaz
  Got your msg mkuu and I will work on it. Meanwhile there is no coz for panic...In Boston Celtics we still believe!!!
  Ab-Titchaz
  Natembelea jamvi lako kwa heshima mkuu. Heri ya mwaka mpya na wewe pia. Nimepotea kipindi hiki cha siku kuu but we are back once again. Ligi inatia wasiwasi maana vijana wameenda kucheza Africa Cup of Nations na gap sio kubwa kati yetu na nyie. We will see.

  Regards.
  Ab-Titchaz
  Merry Xmas to you and yours. Have fun mkuu life is short.
  Steve Dii
  Mambo vipi mazee, kuna jibu nimeliweka kule kuhusiana na joomla kama ulivyouliza. Baadae.
  Ab-Titchaz
  System upgrade ni by order mkuu. Leo kweli hapatoshi. Mwenzio niko nervous ile mbaya. Hebu tusubiri mpaka the final whistle ndipo kitaeleweka.
  Kana-Ka-Nsungu
  Nipo kaka Belo, mambo mengi lakini najitahidi kuchungulia hapa japo mara moja kwa siku, mzima wewe lakini?
  Icadon
  Nahisi kama Tevez ataondoka, na akiondoka tutakuwa tumechemsha.
  Icadon
  Wewe jamaa mhuni sana, eti Chelsea wakipewa dozi Invisible anafanya System Upgrade..Hahah hiyo nimeipenda.
  Weekend njema.
  Ab-Titchaz
  Wewe naona umenitembelea barazani kwangu.Je kwako hakujambo?
  ...madongo yako nimekubali...LOL!
  Kana-Ka-Nsungu
  Nilikua bongo kijiji mkuu, nimerejea, tuko pamoja, asante.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top