Hahahahaha! staili yangu leo n kimyakimya...
Hongeren wanazi wenzagu...kina Eqlpz, Mfarisayo, BJ, Mbu Aw, Wacha, Balatanza, Mamods wooote, Ogah RR, Papizo, AW, Peasaant, BJ, Michelle, Belo, nani wewe jina lakooo....ehhh, ww, asante sana kwa kutuunga mkonoo...nimeamini nyie ni Manure damdam....
Tukalale.
Hongereni kwa ushindi wakuu, and wish you the best for the semi-final.
For sure, Manure wanafurahisha sana!!..Tatizo Arsenal wanafurahisha mechi moja halafu wakifululiza huzuni ni mpaka mnachanganyikiwa na AW wenu!!..ila ndio kandanda mamii!!..Good to see you here Michelle!!
Wacha tupe hongera zetu leo!..hatujatoa bahasha bwana, teh teh teh
Vipi tena BJ unataka kumteka nyara mwanachama wetu!? Vibaya hivyo BJ! Katafute wapenzi wapya ambao hawana timu hahahaha ili wajiunge huko kwenu. Tuachie Michelle wetu pamoja na kuwa tunasuasua LOL! Tulifanya party kubwa sana siku ya kumkabidhi card
Embu divert kwenda Old Fire uone kama hautapata raha na vikombe ( Si vya Babu)
Vipi tena BJ unataka kumteka nyara mwanachama wetu!? Vibaya hivyo BJ! Katafute wapenzi wapya ambao hawana timu hahahaha ili wajiunge huko kwenu. Tuachie Michelle wetu pamoja na kuwa tunasuasua LOL! Tulifanya party kubwa sana siku ya kumkabidhi card
Hii safi sana back to back win itawafanya Chelsick wawakung'ute Manure kwenye EPL hivyo kuwapotezea points good move mafioso khe khe khe khe khe khe hapo ndipo Manure watakapolia na kusaga meno. Wakati chichi tunakunywa mvinyo Emirates.
Arsenal hata ishuke daraja BAK....tutabanana pale pale....unaambiwa usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa.....sifanyi kosa...!!
He he he he BJ, Manda,Mfarisayo,Eqylpz,Papizo usiku mwema,tuko pamoja!!
Yale maua ya augusta bei yake ilikuwa mbaya sana, lakini sasa tupo kwenye msiba kwa sababu bundi amerudi darajani wakuda wote wa mafioso bado hawakubali yaishe. Mbona nimetoa hongera hapo juu kwa kuwafunga 10 men Chelsick. I mean 10 against 11 utaona peasant wakija hapa na mimi nimeanza makusudi tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tuombe hivyo Mkuu lakini hawa MANU sasa hivi wana confidence ya hali ya juu sidhani kama watapoteza mchezo huo sana sana itakuwa draw.
Tuombe hivyo Mkuu lakini hawa MANU sasa hivi wana confidence ya hali ya juu sidhani kama watapoteza mchezo huo sana sana itakuwa draw.
Hukosi visingizio mbona wao kwenye ligi walikuwa 11 na sisi 10 haukuongea? Na hata hivyo mbona tayari walishaloweshwa since wapo 11 uwanjani