Vipi tena BJ unataka kumteka nyara mwanachama wetu!? Vibaya hivyo BJ! Katafute wapenzi wapya ambao hawana timu hahahaha ili wajiunge huko kwenu. Tuachie Michelle wetu pamoja na kuwa tunasuasua LOL! Tulifanya party kubwa sana siku ya kumkabidhi card
BAK nilivyo na convincing power nataka nimuandalie Michelle ripoti ya Maure, lazima awateme Arsenal mana ukikesha kuangalia mechi au kuipotezea matokeo sawa yani kichapo ha ha..Card yenu ataikabidhi na kupata uanachama mpya wa RedDevils!!.
Hongereni sana BJ & Company kwa ushindi mnono. Haya we ongeza mwekundu labda utabiri wa BAK utabadilika 🙂
Thanks BAK..We are so happy and proud kwa huu ushindi!!..itabidi utabirie mechi yetu na Chelsea EPL, ha ha!!
Hahahahaha! staili yangu leo n kimyakimya...
Hongeren wanazi wenzagu...kina Eqlpz, Mfarisayo, BJ, Mbu Aw, Wacha, Balatanza, Mamods wooote, Ogah RR, Papizo, AW, Peasaant, BJ, Michelle, Belo, nani wewe jina lakooo....ehhh, ww, asante sana kwa kutuunga mkonoo...nimeamini nyie ni Manure damdam....
Tukalale.
Thanks fellow fan!..The best team won au siyo!..Big up kwa sie Manure!!
Hongereni....all the best watani :bored::bored:
Thanks mamitoo!..We will give the best performance!!..don't be bored, smile
🙂)
Hongereni kwa ushindi wakuu, and wish you the best for the semi-final.
Dah! Peasant thanx mkuu!..imeshakuwa hivyo kwenu ila ndiyo matokeo!!..thanxxxx
Hii safi sana back to back win itawafanya Chelsick wawakung'ute Manure kwenye EPL hivyo kuwapotezea points good move mafioso khe khe khe khe khe khe hapo ndipo Manure watakapolia na kusaga meno. Wakati chichi tunakunywa mvinyo Emirates.
Wacha1 bwana leo wakati wa furaha hizo habari za EPL zitakwenda salama usijali kabisa..Hebu tutabirie ushindi na wewe kwa siku moja, lol!!..Nyie Emirates mnywe mvinyo kwa ajili gani?kufungwa manure??!! kazi mnayo, mnunue wachezaji sasa naona benki imenona!!
Kabisa huu mpira unarufanya matahira hahaha ila una raha yake bana....sasa bado jumamosi tunamkandamiza mtu....haha
No doubt Jumamosi, chelsea watatia akili tuwaachie depression!!
Una haki ya kuchelewa kazini kesho.
Halafu bosi mwenyewe Maure damu, ofisi kesho inaongea lugha moja!!!
BJ tatizo letu kubwa ni ubahili wa kutotaka kununua wachezaji wazuri ambao wengi gharama zao za kuwapata nazo ni kubwa. Tunataka rahisi rahisi matokeo yake tunakuwa na timu ambayo haina uzoefu wa kutosha katika mashindano mbali mbali. Matokeo yake ni huzuni kila mwaka lakini wakati huo huo bank account imenona ile mbaya!
BAK nadhani muache ubahili, hilo ndiyo muhimu..honestly, Arsenal ni chama imara sana mnakosa tu trophies!!.Halafu hii inawa-affect hadi wachezaji, kuzunguka uwanjani bila something to treasure mwisho wa season kwa kipindi kirefu!..Hebu tuone kama AW atajifunza toka kwa makosa yake!!
Yale maua ya augusta bei yake ilikuwa mbaya sana, lakini sasa tupo kwenye msiba kwa sababu bundi amerudi darajani wakuda wote wa mafioso bado hawakubali yaishe. Mbona nimetoa hongera hapo juu kwa kuwafunga 10 men Chelsick. I mean 10 against 11 utaona peasant wakija hapa na mimi nimeanza makusudi tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa hivi bei itakuwa imeshuka, basubiria hizo augusta!!..Chelsea wasikubali mbele ya manure wana kifua hicho??? ha ha
Nili-over look post yako, nimeona baada ya kupitia tena..mtu 10 kweli kasambaratisha 11 men!!..raha sana leo!!
Arsenal hata ishuke daraja BAK....tutabanana pale pale....unaambiwa usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa.....sifanyi kosa...!!
He he he he BJ, Manda,Mfarisayo,Eqylpz,Papizo usiku mwema,tuko pamoja!!
Wewe banana hapo mpaka upate heart-attack, teh teh...kama big G imeisha utamu then unatema kuonja karanga, kwahiyo siyo kosa mamii!!
Thanks PamojA kabisa..nite nite nawe!!
Tuombe hivyo Mkuu lakini hawa MANU sasa hivi wana confidence ya hali ya juu sidhani kama watapoteza mchezo huo sana sana itakuwa draw.
Definitely BAK, we take very serious kwa confidence ya ajabu mechi muhimu kama ya leo!..dua mbaya za Wacha1 zitatoka kapa, ha ha
BJ and the crew, manda, mfarisayo, eqlypz et al... nimewapa shavu toka game ya mwanzo na hawa maradhi ya darajani, hamja niangusha. Big up! Am happy for you guys.. bht mbaya udugu wangu kwenu unaishia hapa. safari njema muendako.. he he
Thanks Mbu!..kumbe undugu ndiyo umeisha eeh!..no worries, tutapambana mpaka mwisho wa hili kombe!!..halafu ni wewe kweli mana maandishi yako tofauti, ha ha
The Best Team Won Tonight!...Kudoz to Manchester United!!