Leo Manchester kuko kimyaa...!
Ukitaka waweza kaa upate kikombe cha kahawa...hodiii, napita kuwasalimia tu.
Namna gani berba kakosa goli 2 za wazi
Huyu jamaa ndio maana analikalia......
Chance ya pili si ndo kama ya Chelsea dogo Hernandez alikandamiza muneti
Ukitaka waweza kaa upate kikombe cha kahawa
...mnh? kikombe cha babu kishakuwa cha kahawa? Manda na Eqlypz wa' wapi leo?![]()