Alianza kwa matumaini makubwa. Lakini haya yameanza kumuondolea imani waliyokuwa nayo wengi juu yake mwanzoni
1. Kupanda kwa bei ya mafuta
2. Tozo kwenye miamala
3. Kutangaza wazi kuwa kuna vikundi vya kigaidi nchini kwa kupambana na kuwafungulia kesi za kigaidi wapinzani katika mambo wanayoruhusiwa kufanya kikatiba na kisheria
Tuendako si salama sana.
Siyo anapoteza , kishapoteza tayari
 
Ndo mkome kupapatikia watu haraka haraka!

Tuliwaambia adui yenu ni CCM. Siyo Magufuli.

Lakini hamkusikia.

Adui yetu ni ccm, ila dhalimu alikuwa kwenye kundi la adui yetu mkubwa. Mama wa kambo alisifiwa kwa machache mazuri aliyoanza nayo. Ila Kwa sasa honey moon imeisha baada ya kukiuka haki. Lakini yule mtu muovu hata usemeje bado ni chukizo la nguvu kwetu fullstop.
 
Watumishi tulishachangia Sana maendeleo kwa kunyimwa nyongeza za mishahara,kulipwa madeni, kutumbuliwa na kupanda madaraja...mkashangilia. Sasa hivi Ni zamu ya kila Mtanzania.
 
Alianza kwa matumaini makubwa. Lakini haya yameanza kumuondolea imani waliyokuwa nayo wengi juu yake mwanzoni
1. Kupanda kwa bei ya mafuta
2. Tozo kwenye miamala
3. Kutangaza wazi kuwa kuna vikundi vya kigaidi nchini kwa kupambana na kuwafungulia kesi za kigaidi wapinzani katika mambo wanayoruhusiwa kufanya kikatiba na kisheria
Tuendako si salama sana.
Aliwahi kuwa na mvuto tangu lini
 
Hakuna jambo la maana hata moja alilolifanya tangu awe rais.
 
Back
Top Bottom