Nenda pale mtaa vyombo mtaa wa aggrey ..pale maduka yanapoanzia karibu na mtaa wa sikukuu..nenda duka la tatu kutoka duka la wachina kuna mdada anauza , mkono wa kushoto , huyo jumla ndio anaanzania angalau piece 3 . Hizo chupa ziko 4 in 1 pale anauza jumla 15,000
Asante sana ndugu.nimepata bidhaa sehemu ile ile uliyonielekea
 
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yani cover's,earphone nk

Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yani kiufupi accsessories za simu ni hivi:

Unapoenda kariakoo kwa lengo la kununua hivyo vitu
Tajwa hapo juu usiende kichwa kichwa yani unafika
Mfano unataka cover la simu fulani usiulize kwa lugha hii: eti cover la note 10 shingapi no! Ukishauliza hivyo wanajua huyu sio wa humu humu kariakoo ni mteja wa kawaida ananunua akatumie tu lugha unayotakiwa...

Kuongea ni hivi hilo cover la note 10 ni saa ngapi kariakoo kuna lugha maalum ambazo zimewekwa kuwa ukiongea wanajua huyu ni mlanguzi analangua na yeye akauze na inakupa wewe ugumu wa kuelewa wanaongea kwa mantiki gani so nakupa hiyo ukifika mfano unataka simu uliza hivi samsung note 20 zoezi lake saa ngapi utapewa bei ya kilanguzi ili na wewe ukauze yani bei ya winga walanguzi kule kkoo tunawaita mawinga kariakoo hamna simu za bei hivo.
 
Au kwenye nguo fika unasema yakukimbiza
 
Back
Top Bottom