Bandari ya Dar Es Salaam na soko la Kariakoo ni fursa ya dhahabu kwa watanzania

Dec 13, 2018
30
140
BANDARI YA DAR ES SALAAM NA SOKO LA KARIAKOO NI FURSA YA DHAHABU KWA WATANZANIA.

Leo 12:15pm 17/03/2019.

Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kung'amua fursa inayopatikana kupitia uwepo wa Bandari ya Dar es Salaam katika bahari ya Hindi na Soko la Kariakoo ambalo ni kitovu cha uuzaji wa kila aina ya bidhaa kwa jumla na rejareja.Uwepo wa Bandari na Soko la Kariakoo unakupa fursa ya kutumiwa na kupokea mzigo wako moja kwa moja toka nje ya Tanzania kwa njia rahisi ya bahari ya Hindi. Uwepo wa Bandari ni namna rahisi ya kupata mizigo bila ya kutumia gharama nyingi.Hii ni kwa kutumia makontena ya meli kuleta mzigo toka kila kona ya Dunia.

Leo kila nchi ya Kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki,utawakuta Wananchi wake katika Hotel za Kariakoo wakingoja kukuche waingie soko la Kariakoo kununua bidhaa na kuzipeleka katika nchi zao,Kariakoo imekuwa kama Dubai, ama China,Ukipita mtaani utasikia lugha mbalimbali katika kikundi cha watu watano hadi sita wakizungumza lugha mbalimbali za Zambia, Malawi, Msumbiji, Zimbabwe, Namibia,Congo, Rwanda,Burundi,Uganda na Kenya licha ya Wachina lukuki katika Maduka ya Mtaa wa Aggrey na Sikukuu, Ukiingia katika benki utakuta raia wa kigeni zaidi ya mia wakihitaji huduma ya kubadili dola ya Marekani na fedha nyingine kama rand na rial kupata fedha ya Tanzania kwa ajili ya kwenda kununua bidhaa katika maduka mbalimbali ya Kariakoo.

-Kariakoo sawa na Dubai ama China.

Kinachofanyika Kariakoo ni sawa na Mtanzania anapokwenda China ama Dubai kununua bidhaa na kuzileta hapa Kariakoo, Sasa Waganda, Wakenya,Wazambia,Wamalawi,Wamsumbiji,Warwanda,Wakongo na Waburundi nao wanafunga Safari kuja hapa Kariakoo kununua bidhaa na kuzipeleka nchini mwao,

Kariakoo imekuwa Dubai ama China kwa ndugu zetu Wazambia,Wakongo,Wamalawi,Warwanda,Waburundi,Wakenya na Waganda, Kununua vitu China na kuuza kwenye soko la Kariakoo hapa nchini,Fursa ya watanzania ipo Kariakoo kwa kuwauzia bidhaa Wakongo, Wamalawi, Wazambia, Warwanda, Waburundi,Wamsumbiji,Waganda na Wakenya.

Sasa badala ya kuuza hapa nchi kwa soko kubwa la Watanzania mikoani pasipo na bahari, basi unaweza kuuza bidhaa kwa Wakongo, Warwanda, wazambia wanaokuja kununua bidhaa katika soko la Kariakoo.Urahisi watakaoupata Wazambia na Wamalawi ni kwamba hawaendi China wala USA/UK ama Dubai kununua.

Watatoka Zambia, Malawi, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kuja Kariakoo kununua bidhaa na kuvipeleka katika nchi zao.Fursa nyingine kwa Watanzania ni Usafirishaji, Ukishanunua vitu vyako Kariako utawasafirishia mpaka Zambia, Kongo, Malawi, Msumbiji ama Rwanda na Burundi Unaweza kuwa na ghala katika nchi hizo na kuzitunza bidhaa hizo kwenye store yako hata watakapopata wasaa wa kufuata bidhaa zao.

Unaweza pia kutumia fursa hiyo kutangaza bidhaa mbalimbali kwa jumla na rejareja katika Nchi hizo ambazo umewapelekea wanunuzi mizigo yao,unaweza kuvi list kwenye matangazo ya biashara katika nchi hizo kuonyesha picha na maelezo yake nakuanza kufanya marketing na pia unaweza kutumia wasaa huo kupata mrejesho wa bidhaa mbalimbali hitaji la watu wa mahali hapo na namna ya kutimiza haja zao,

Ni nafasi nyingine ya kutumia fursa hiyo kuzipandisha chati bidhaa zako (Kurank higher) na kuanza kupata wateja.

-Umuhimu wa Soko la Kariakoo.

Unaweza kuona potential iliyopo kwenye soko la Kariakoo. Na ukifanya marketing vizuri ukajua nchi zaidi ya kumi ambao raia wake wanakuja Kariakoo kununua bidhaa basi unaweza kuuza bidhaa nyingi na kila mwezi ukaagiza mzigo China na kuja kuwauzia Wamalawi,Wazambia,Wamsumbiji,Warwanda,Waburundi,Wakongo,Wakenya na Waganda kwa siku.

Lakini inahitaji kujifunza kutoka kwa watu hasa wazoefu na wenyeji.

-Uzoefu wa Mwenyeji Kariakoo.

Ngoja nikupe machimbo na namna ya mwenyeji anavyopaswa kuwa dira ya mahala husika, kizuri kula na mwenzio...Mfano Vitenge mara nyingi labda machimbo yake yapo Nida kule mnazi mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana labda mtaa wa Narung'ombe na Mtaa wa Kongo,Kitu kingine nenda straight kwenye maduka ya wachina na sio madalali wa kati yaani sio wale machinga wanaomwaga chini,hapana,nenda kwa mchina au Mtanzania mwenye duka la jumla dukani utakuta zile raba simple wanauza 4000/pc wakati Machinga katikati ya mitaa ya Kariakoo atakuuzia 10,000/-na vile visandles wanauza 2500/pc wakati Machinga mitaani atakuuzia 3,000/ hadi 5,000/- Cheni labda nenda Mchikichini katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/ kwa dazani na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani Mtaa wa Kongo na Aggrey wanauza bei chee kuanzua 6000,8000,1000 hadi 16000 kwa pc.

Labda Watu wanadhani bidhaa za China zina quality ndogo lakini siyo kweli, China wanakuuzia quality unayotaka. Kwa USA na Ulaya huwezi ingiza kama hizi zinazokuja kwetu.Lakini ukihofu basi agiza bidhaa za India ambazo wanadai hazichakachuliwi na ni original.

Watanzania wengi watafikiri ni mtaji mkubwa kuagiza bidhaa toka China ama Dubai na kuleta Kariakoo, hata unaweza kujaribu kwa kuleta sample na kuuza katika soko la Kariakoo ili bidhaa yako uijue vizuri.

Bandiko hili linaweza kusomwa na wengi naamini litaamsha usingizi wa Watanzania wengi kujua fursa ya Bandari ya Dar es Salaam na soko la Kariakoo na sio kuwaachia Wakongo,Waburundi,Warwanda,Wazambia,Wamalawi,Wamsumbiji,Wakenya na Waganda.

-Upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam.

Upanuzi wa bandari umekamilika kwa asilimia kubwa, Ujenzi wa magati na kuongeza kina cha sehemu ya kupakia na kupakua mizigo katika bandari ya Dar es Salaam.

Upanuzi wa bandari, ujenzi wa magati na kuongeza kina cha kupakia na kupakua mizigo,kwa sasa utaiwezesha bandari kuhudumia Meli kubwa zaidi kwa kina cha mita 12,Upanuzi huu sasa umeondoa foleni za Meli kushusha mzigo,na sasa bandari ina uwezo wa kushusha mizigo ya kutoka kweye Meli kubwa saba kwa wakati mmoja.

-Tanzania ya Viwanda na Biashara inawezekana.

Kunafursa nyingi sana kutegemeana na wewe mhusika unataka kufanya nini katika biashara,kwa kutumia fursa ya Tanzania ya Viwanda, uwingi wa watu na uhitaji wa vitu katika Tanzania.

fursa ni nyingi nadhani ni wewe na akili yako na mazingira uliyopo,Kwa biashara za kueleweka (za mitaji mikubwa) angalia mahali ulipo,Fahamu hitaji la watu,fungua duka la nguo na vifaa vya watoto wa dogo...labda ni Biashara nzuri sana sema inataka subira,...au kama una ufahamu katika sekta ya Umeme una utaalam fungua duka la vifaa vya Umeme na tafuta hela ya kuagiza mzigo China, kama ni mtaalam wa ujenzi basi fungua duka la jumla la vifaa vya ujenzi.(kariakoo kuna maduka kibao ya vifaa vya jumla kama utashindwa kuagiza China)

Biashara ni matangazo, jifunze namna ya kutangaza bidhaa zako,weka matangazo kwenye tv ama kwenye redio ili kuweza kuliteka soko kama ukijitangaza na ukiwa na maono mazuri basi utafanikiwa sana.

Nimalizie kwa kusema, Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam na Bandari ya Dar es Salaam ni fursa adimu kwa Watanzania kuna mazingira mazuri kwa wafanyabiashara ni fursa kubwa ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam, kwa maana nchi zote ambazo hazina bahari zinakuja hapa,Malawi,Zambia,Msumbiji,Namibia,Rwanda,Burundi,Kenya,Afrika ya Kati, Guineas na Uganda,mazingira mazuri ya biashara katika Soko la Kariakoo na Bandari ya Dar es Salaam yanatoa fursa kwa wafanyabiashara wadogo na Wakubwa kuweza kuagiza mzigo na kuupata kwa urahisi na bei nafuu,kuweza kuuza kwa jumla na rejareja katika Soko la Kariakoo ambalo ni kitovu cha Biashara kwa nchi za Kusini mwa Afrika,Afrika Mashariki na kati,

Ndugu yangu Mtanzania anza kuangalia biashara kwa mtindo tofauti wakati wa muda wa mapumziko. Tembelea Kariakoo kaa uone raia wa kigeni wanavyomiminika kuja kununua bidhaa, angalia jinsi wanavyonunua na kwenda kuuza vitu na kisha tembelea nchi zao kujua hitaji na soko halisi, pia weka hela Tembelea China ama Dubai uone wanavyozalisha. Kwa wale ambao wameishi Ulaya na Amerika wajua jinsi fursa zilizopo hapa Tanzania lakini watu wamezikalia kwa kukosa exposure ama akili ya kufikiri kuvuka mipaka na kujaribu, yupo mfanyabiashara mmoja kaenda kuwekeza Umeme huko Comoro kama ilivyokuwa Richmond hapa kwetu na hivi sasa ni tajiri mkubwa kabadili na uraia kawa Mwafrika Kusini,Biashara inayofanyika ni kupata wazo la soko jipya kwa maana ya soko ambalo halijafikika na kuendelea kuwekeza katika soko la sasa na lililopo. Naamini utabarikiwa Sana kwa kukuamsha huku kuijua fursa ya dhahabu inayopatikana Tanzania kupitia Bandari ya Dar es Salaam na Soko la Kariakoo, Ahsante Mungu kwa kuibariki Tanzania,Tupe Neema ya kuweza kuzitumia ipasavyo baraka ulizotujaalia.

Nikiishia hapa, Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
 
Uko sahihi. Nimekuwa napumzika Singapore siku chache kila mwaka kwa zaidi ya miaka 20, kwa hivyo naifahamu. Kipato chake hutegemea sana biashara ya re-sale kama hiyo ya Kariakoo. Hawana ardhi ya kilimo; uchumi wao hutegemea bandari yao na uwanja wa ndege. Ni matajiri.

Serikali iboreshe miundombinu Karakoo na isiingilie hiyo biashara hata kidogo.
 
mkuu nimekuwa nikikusoma kila ukiweka bandiko hapa lakin kila ukiweka huwa kuna sehem nakukosoa ingawa ni mtu ambao unaonyesha fursa kwa namna unavoweza...Basi hata leo nitakukosoa tena

KWA KENYA HAPANA WANA BANDARI YAO NA WANAJITEGEMEA KWA KILA KITU ZAIDI SISI NDO TUNAENDA KWAO KUCHUKUA VITU KAMA BAADHI YA MITUMBA, DAWA ZA KILIMO, VIDANI UREMBO UREMBO NA BAADHI YA TECHNOLOGY KAMA KUFUGA NA VILIMO. ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilinganishe Dubai / China na taifa la wajinga
 
Uzi Wa kijinga sana. Nilijua unaongelea fursa ya kutoa malighafi na kuuza nje ya nchi kumbe unaongelea kuuwa viwanda vyetu kwa kuagiza vitu toka china!!!! We Jamaa hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno mengi matupu na lugha iliyopambwa vizuri,hakuna jipya au jambo la ziada hapa.
"Pure Rhetoric,no meaningful substance"

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Fursa za kibiashara, mitaji ya biashara, usafirishaji ktk biashara na kodi ktk biashara hivi ni vitu changamoto sana ktk biashara.
 
Uzi Wa kijinga sana. Nilijua unaongelea fursa ya kutoa malighafi na kuuza nje ya nchi kumbe unaongelea kuuwa viwanda vyetu kwa kuagiza vitu toka china!!!! We Jamaa hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa nchi unajengwa kwa shughuli nyingi. Kujenga viwanda ndiyo, na fursa za kununua na kuwauzia nchi nyingine pia. It brings customers to our hotels, passengers to our taxi drivers, forex to our nation and employment to many people.
 
Hapo unaongea utumbo tu. Unafikiri hao wengine hawawezi kwenda huko china kununua vitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaku (Chakubanga) nimekuelewa. Kazi kwao serikali na TRA wasome pia bandiko / uzi uliouandika.

Wananchi tunaona fursa kibao Tanzania kuwa 'Dubai / Singapore ' lakini serikali inaweka mazingira magumu kisera na tozo za kodi kuanzia ktk huduma za bandarini, malori ya mizigo, katika biashara na kodi ktk mahoteli ya Kariakoo na Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Kifupi eneo hilo kuanzia bandarini Dar es Salaam Posta, Mnazi Mmoja, Gerezani, Kariakoo lijulikane Special Economic Zone. Umeme uwe wa uhakika, gharama za intaneti / fax mawasiliano ziwe nafuu, usalama madhubuti, kodi za majengo ziwe nafuu n.k Kazi itabaki sisi na hao wa nchi jirani kuchacharika na biashara masaa 24 kwa siku 24 / 7.
 
Back
Top Bottom