Je wajua mwanza ndio mkoa wenye kiasi kikubwa cha maji kuliko mkoa wowote hapa tz na singida ndio mkoa mkame kabisa
Je wajua Kisiwa cha Mafia kilichopo bahari ya Hindi chenye kata 7 na wakazi wapatao 60,000 hakuna hata shule moja ya kidato cha sita?
Nini maana ya kuumbwa?Sema kutokea kwa ulimwengu maana ukisema kuumbwa kwa ulimwengu inamaanisha una-refer vitabu vya dini ambavyo kwa mujibu wake vinadai ulimwengu una miaka 6,000 tu
kweli kabisa bobJe wajua mwanaume akianza kutembea anaanza mguu wa kushoto na mwanamke anatanguliza mguu wa kulia...
Kama hujui chukua na uanze kufanya research yako.
Unauliza au unaeleza ?
mabara duniani yapo? rangi kwenye pinde ya mvua zipo? siku za wiki?maajabu ya dunia?matundu katika mwili wa binadamu? jani la mmea wa ajabu ban.ge limegawanyika mara?falme saba ,mbingu saba,aliumba dunia na kupumzika siku ya? NAWASILISHA
duh umevurugwa?