Hii thread ilikuwa nzuri lkn watu wanaichafua kwa ushabiki wao wa kijinga..na pia mtu analeta kitu cha kipuuzi kabisa tena kisicho na mashiko.

kweli kamanda.. wadau yatupasa kurudi kwenye hoja za msingi ...
otherwise bado si mbaya ni wachache tuu ... ila tujifunza
 
Je, unajua kwamba tangu kuumbwa kwake Ulimwengu(Universe) una umri wa zaidi ya miaka 17 billioni!

Sema kutokea kwa ulimwengu maana ukisema kuumbwa kwa ulimwengu inamaanisha una-refer vitabu vya dini ambavyo kwa mujibu wake vinadai ulimwengu una miaka 6,000 tu
 
Je mwajuwa sehemu ya nje ya Jino ndo sehemu ngumu zaid kuliko zote katka mwili binadamu?
Na kwamba kila jino lina movement,yaani lina cheza mbele-nyuma,kulia-kushoto na juu - chini.
 
Je mwajuwa uking'oa jino mfupa ulio Kuwa umebeba hilo jino hunywea na kupoteza shape,jambo linaloweza kuathiri mwonekano wa mtu?

Kwamba ukitoa jino huna budi kuweka la bandia,hata kama ni yote.
 
Back
Top Bottom