Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,861
Nakagua lindo
God save us
God save us
Kumekucha unataka usingizi wa nini?Kwa kweli sina usingizi
Nipo mkuu, nadhani tunapishana kinamna namna tuu, karibu huku kwa wasiolala
Na wewe pia umehadimika ujueNawe sijakuona siku hizi mbili tatu,, nimekuulizia kule kwenye uzi wa kupeana likes sijapewa jibu la kueleweka afadhali nimekuona huku mwenyewe..
Labda ni huko uliko ndo hainyeshi mkuu, mbona maeneo mengi inanyesha
LiiMkuu Tina book club kabisa. Wananunua vipya then tunapewa. Tinapewa muda wa kumaliza page kadhaa. Halafu inapangwa siku ya kujadili hizo page. Nitasubiri kwa hamu. Napenda sana kusoma books ila muda ndio tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna haja ya kuanzisha.,tuanzishe ili iweje ?
Maombi maalum yanahitajika..Asante!
Kabisa haunitakii mema kwani tangu uanze kuniandama na ukata nao umeniandama!😪
Hapana mkuu...kula huwa nakula sanaAu mzee jana usiku umeupitisha desh bila msosi
22:30 mida ya kazi, mpo poa wadau?Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
22:30 mida ya kazi, mpo poa wadau?