Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
[emoji23][emoji23] location nije fastaaaNjoo unywe supu ya jogoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa usinipambanishe na mtaalam wa cha PBora usiiyone [emoji38][emoji38][emoji38] mwana akutakii mema huyu.
[emoji23][emoji23] ipo siku nitakukaribisha alafu nioneyna2 inawezekana kuna factor nyingi yakawa yanaboa. Nikaribishe tufanye wote maombi uone yaani hakuna kulala ni kupokezana hadi kunakucha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice Cresida. Ofisini tunapewa vitabu vya kusoma, nimesoma introduction tu. Mambo yamekuwa mengi sana. Ukimaliza utanisimulia mkuu.Soft copy mkuu.
Ni cha Napoleon Hill.
Think and grow rich.
Nice Cresida. Ofisini tunapewa vitabu vya kusoma, nimesoma introduction tu. Mambo yamekuwa mengi sana. Ukimaliza utanisimulia mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tina book club kabisa. Wananunua vipya then tunapewa. Tinapewa muda wa kumaliza page kadhaa. Halafu inapangwa siku ya kujadili hizo page. Nitasubiri kwa hamu. Napenda sana kusoma books ila muda ndio tatizo.Mbona hata intro ni nzuri sana kinatoa motisha ya kuendelea.
Nitakusimulia mkuu maana najikuta naflow tu