Kumbe upo macho? Nini mbaya muda huu?Umeniotea,, nimekuja kubuy time.. panachelewa kukucha..
Kichwa kina vitu vingi..Kumbe upo macho? Nini mbaya muda huu?
Pole kwa kufiwa na baba, muda huongea....Kichwa kina vitu vingi..
😭 Maisha ni fumbo kali..Pole kwa kufiwa na baba, muda huongea....
Maisha ni safari ndefu au fupi iliyojawa na mafumbo mengi...😭 Maisha ni fumbo kali..
Lazima ushangae kwa mawazo msururu, wadogo na mama wapo kwenye hali gani...Amen, na iwe hivyo maana bado mshangao ni mkubwa