Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
Bora usiiyone


mwana akutakii mema huyu.Aminia sanahii ni project kubwa ujue huwezi acha ikipita kirahisi hivi.
Hapo ni akibofya digits it's just one call keshafika. Sasa upweke wa nini?
Hapo ni akibofya digits it's just one call keshafika. Sasa upweke wa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha elekea kibra huyo, ni kugusa tu kama kuvuta hewa viledah mnanichekesha sana leo dah.
yna2 inawezekana kuna factor nyingi yakawa yanaboa. Nikaribishe tufanye wote maombi uone yaani hakuna kulala ni kupokezana hadi kunakucha.
Mzee naona kama uko interested nae kiaina vile.Poaacha nikakutane naye huyo juma lokole.