Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Dah mpaka mpaka nilale tena hiki kichwa kibovu nakijua naweza pitiliza mpaka saa 4 usiku ndio nikalala tena.
Dah mpaka mpaka nilale tena hiki kichwa kibovu nakijua naweza pitiliza mpaka saa 4 usiku ndio nikalala tena.
Dah hizi nyimbo ni zakitambo kweli lakini mpaka leo hazijawahi isha utamu.Usingizi umeisha nakula gospel hapa.
Usiku nakuwa Super Man a.k.a Karl Erl, mchana nakuwa RandyHizo personality unazihandle vp
Sina mke, sina demu, sina rafiki, sina pesa, sina hata bangi! Kulala kuna faida gani?