Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Bora..maana sikutaka mgeni siku ya kesho [emoji23][emoji23]Nimeshapata dharula nafunga kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora..maana sikutaka mgeni siku ya kesho [emoji23][emoji23]Nimeshapata dharula nafunga kesho.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana mahitaji yalikuwa mengi.
Ww tu na maskio yakoSiutaniimbia mrembo [emoji8][emoji7]?
Hahaha tupo huku mkuu Bata Kama zote[emoji23][emoji23][emoji23]kuna Siku nlikua Napita hapo nikitokea huku njia ya rami
Sikujua kuwa huko kuna kidimbwi beach Naona Magar yanapita tuu mabishoo masista duu kama wote nimekalibia pale jamaa wnakuja wananiambia karbu karbu
Nikaanza kuwauliza karbu wapi ? Kufanya nini ? mwaka jana tuu hapo [emoji28][emoji28]
Here i goWaaoohh[emoji39]
Am ready to Listen babe
Kwa wapi chacha?
Yupo mbona mwangu wa faida huyo sema saiz kalala huyo alikuepo lakini sio humu.Hv simiss manyama yuko wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka uje kula pasi kugharamia?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana mahitaji yalikuwa mengi.
Mwambia nmemiss na ile veggie meal yetu hatujaipataYupo mbona mwangu wa faida huyo sema saiz kalala huyo alikuepo lakini sio humu.
Kula hata sijala nilipie bill kweli wakati wakuondoka ningeacha msimbazi mezani hapo kama zawadi na shukurani zangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka uje kula pasi kugharamia?.[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Im both ....Randy the Viper [emoji216] and Super Man....Ww ndo randy orton pekee unaefanana na superman[emoji23]
Ewww[emoji849]I don't like it to be here babe
To many witches here
Come inside [emoji1739][emoji1739]
Hizo personality unazihandle vp
[emoji23][emoji23][emoji23] dah hapo kwenye misosi ujakosea kabisa ndio vitu vyake hivyo..Mwambia nmemiss na ile veggie meal yetu hatujaipata
Fikisha ujumbe