JamiiForums Usiku wa manane
Wananifanya mpaka niwe lindoni.
Kuna watu ndo wameingia mda huu kutoka Tanga wamepokelewa.
Imeanza jana asubuhi ikaisha saa 2 usiku.
Leo imeanza asubuhi mpaka mda huu nasikia sijui ndo madufu sijui wanamaliza saa ngapi
Wali upo lakini wakutosha?
 
Back
Top Bottom