Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Na vitunguu vya 500 ..[emoji23][emoji23][emoji23] 3 za 1500 zitatosha tu au ww umasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na vitunguu vya 500 ..[emoji23][emoji23][emoji23] 3 za 1500 zitatosha tu au ww umasemaje?
Hicho cha "Siku ya Wanawake Duniani"
I am with you- avril lavigne[emoji4]
YesNyimbo Au ?
Tutaweka maharage humo 😂 badala ya nyama.
Umlete na mpishi wa kupika hayoTutaweka maharage humo [emoji23] badala ya nyama.
Mbona naona bills inazidi ongezeka huu mualiko sio kabisa ni jinsi gani inaonesha sitakiwi kuja kabisa hapo kesho.
Na nyie anzisheni Cha Wanaume dunianiHicho cha "Siku ya Wanawake Duniani"
Sasa pilau bila vitunguu nawewe..kachumbari bila vitunguu...mjini Cha bure salamu tuMbona naona bills inazidi ongezeka huu mualiko sio kabisa ni jinsi gani inaonesha sitakiwi kuja kabisa hapo kesho.
Nimeshapata dharula nafunga kesho.Sasa pilau bila vitunguu nawewe..kachumbari bila vitunguu...mjini Cha bure salamu tu
Sent using Jamii Forums mobile app