Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Usiku mwema Buddies.
Daah huu ninao kitambo ila naona kama ndo unazidi vile kwa msoto wa lindo na genge wachache wenge 'sarenda", naamini punde tu ntakula mema ya nchiKama haukuwa nao na umekuja ghafla tu basi na uwakika utaondoka tu siku moja urudi ulipo toka huko.
Asante nawe pia BuddyUsiku mwema Buddies.
Kamwili kembambaaa ila mii namba mze tunasema gusa unase, ila sinaga maugomvi peace Sana Kakabasi subiria kupewa kichapo na wahuni mzee wangu.

Nimeshatia timu kufunga getiMzee wa kufunga geti nitakuacha lindoni muda sio mrefu mzee wangu.
Mzee umeanza figisu zako mapema.Utume na picha yake PM sasa sawa Drizzle
We jamaa noma sana. Mtu kala kiepe na mpishi amekula mtu.hiko kiepe kipejina la yajayo yanafurahisha.
Default setting za Samsung.Default app or downloaded?
Nielekezea kama ni S series...Default setting za Samsung.
Sanaa yani hadi naijshangaaUnapenda BBall?
Naam mkuuKwema mzee uko na feel gud ww?
Nina mbio mkuubasi subiria kupewa kichapo na wahuni mzee wangu.


Hakika!