Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23] mm jeshiii ww kama konde boy haendi mtu huko.huyu ni mr villa japo atabisha [emoji16][emoji16][emoji16]... aende hospital
[emoji23][emoji23] mm jeshiii ww kama konde boy haendi mtu huko.huyu ni mr villa japo atabisha [emoji16][emoji16][emoji16]... aende hospital
Yes kumekucha..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona ndio kumekucha sasa.
Sijawai kukusalimia humu JF.
Kwema..za kwakoSijawai kukusalimia humu JF.
Kwema kabisa?
Hii inaitwa ME TOO EFFECT, nimekusalimia sababu mwamba Super Villain
Jana umeondoka bila hata ya kuaga bhana naona ghafla mtu hayupo nikajua umeshatepeta teyari huko.
Jana hata mwenyewe sijui ilikuwaje..nimekuja kushtuka saa mbili asubuhi.Jana umeondoka bila hata ya kuaga bhana naona ghafla mtu hayupo nikajua umeshatepeta teyari huko.
[emoji23][emoji23][emoji23] harakati zako zote zile za kutaka kufunga geti jana ziliyeyuka na hatimaye ukafungiwa lindoni kabisa.Jana hata mwenyewe sijui ilikuwaje..nimekuja kushtuka saa mbili asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mzima nasumbuliwa na Insomnia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani acha tu..naona ulifunga lindo peke yako jana[emoji23][emoji23][emoji23] harakati zako zote zile za kutaka kufunga geti jana ziliyeyuka na hatimaye ukafungiwa lindoni kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe bwan..nimecheka khaa!! Ila umesema ukweli mtupuMimi sio mzima nasumbuliwa na Insomnia.
Sitaki uswahili wa kujibu kwema wakati kuna shida.
Unakuta mtu anaulizwa habari?
Anajibu nzuri, kisha baadae anasema leo naumwa sana sijatoka ndani!!!
Au unaulizwa mambo unajibu safi/poa huku hauna pesa mfukoni.
Sina hata manati mkuu nimejibu tu[emoji28]Nikajua una gobole mzee wangu [emoji23]
[emoji4][emoji4] nikaona isiwetabu nikaaga zangu mm nazani maombi yangu yalikukutia ndotoni huko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani acha tu..naona ulifunga lindo peke yako jana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] basi subiria kupewa kichapo na wahuni mzee wangu.Sina hata manati mkuu nimejibu tu[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Kwakweli yalinikutia ndotoni[emoji4][emoji4] nikaona isiwetabu nikaaga zangu mm nazani maombi yangu yalikukutia ndotoni huko.
Leo kunywa kabisa kahawa sasa iliufunge geti.
Haha..hunitakii mema wewe..ungejua navyoutaka usingizi usingenambia mambo ya kahawa.Leo kunywa kabisa kahawa sasa iliufunge geti.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa dawa ya moto si moto au?Haha..hunitakii mema wewe..ungejua navyoutaka usingizi usingenambia mambo ya kahawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo na Hamida saizi huyo.simiss mbona kimya ndio gari lishazima tayari?