simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Thanks Rorer maana wengine tunakaribia kupigwa radi kwa kutokuenda church
Thanks Rorer maana wengine tunakaribia kupigwa radi kwa kutokuenda church
Thanks Rorer maana wengine tunakaribia kupigwa radi kwa kutokuenda church
Ngoja nikukaribishe kiti uketi ila usisinzie asa.. najua mwezi wa mahaba huu, watu wengi wamejilegeza [emoji4]Ndio, nawapenda sana walinzi wenzangu[emoji6]
Vp naleo tena unazile excuse bado [emoji4]Nakuona pia master villa
Mimi sikumbuki hata mara ya mwisho ni lini .. Mungu atuhurumie
[emoji23][emoji23][emoji23] brother sio poa kuniovertake.. ndo ilikuwa kauli inayofuatiaVp naleo tena unazile excuse bado [emoji4]
Mimi sikumbuki hata mara ya mwisho ni lini .. Mungu atuhurumie
Aah wapi leo kausha tu mzee wangu.[emoji23][emoji23][emoji23] brother sio poa kuniovertake.. ndo ilikuwa kauli inayofuatia
Za kihonda lakini mdada [emoji4][emoji4]
Leo pia siez kukesha mzee.. Kesho kuna place naenda ila usijali. Upopo damuni, nitarudi chamaniAah wapi leo kausha tu mzee wangu.
Za kihonda lakini mdada [emoji4][emoji4]
Poa kachukue hayo makonzi kesho. Najua utanikopesha siku ya mapenzi nikatimue vumbi uswahili kwetu.Leo pia siez kukesha mzee.. Kesho kuna place naenda ila usijali. Upopo damuni, nitarudi chamani
Wewe mdada sio hapo kati mvomero. Gate dogo la kanisani [emoji4][emoji4]
Umenikumbusha shrek... kitambo kiasi mambo ya princess Fiona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni hatari zaidi kushinda hiyo ya Obama na Thanos.