Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Hii vurugu sio mchezo baba angu

hii balaa la leo unalomfanyia lazima adate kwakweli.Hii vurugu sio mchezo baba angu

hii balaa la leo unalomfanyia lazima adate kwakweli.Hiki kiepe nitakipa jina amazing sanaNakubali mzee wangu leo huyo bibie balaa analo mezani hapo sio kitoto.
Nahakikisha maujuzi yangu yote nayamalizia hapaHii vurugu sio mchezo baba anguhii balaa la leo unalomfanyia lazima adate kwakweli.


jina gani hilo tena?Ndio maisha mzee wangu pambana usikate tamaa.Naam kama vile walinzi wagonjavyo asubuhi, Roho yangu inamgonja Bwana Mungu na kumtumaini, dah ulzinzi kazi jamani na kukicha nikapange nyanya




hili balaa kweli leo umelidhamilia kabisa sio kwa vurugu hii yote.Ndio kunakaribia kukucha hivyo.03:42...
Yeah hamna namna sijwahi kata tamaa naamini sitokuja kata tamaa sijui ubishi huu nimeutoa wapi MzeeNdio maisha mzee wangu pambana usikate tamaa.
Mzee muda wa church bado kidogo tu hapo.
Hajajua nguvu yake, ni kama vile dent ametegeshewa chamboEe safi muoneshe nguvu ya kiepe yai bado ajajua maajabu ya hiko chakula huyo bibie.
Kama haukuwa nao na umekuja ghafla tu basi na uwakika utaondoka tu siku moja urudi ulipo toka huko.Yeah hamna namna sijwahi kata tamaa naamini sitokuja kata tamaa sijui ubishi huu nimeutoa wapi Mzee


hiko kiepe kipejina la yajayo yanafurahisha.Mzee wa kufunga geti nitakuacha lindoni muda sio mrefu mzee wangu.