Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23] simtank unafanya mchezo nn utafunja chaga ww.
[emoji23][emoji23][emoji23] simtank unafanya mchezo nn utafunja chaga ww.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simtank unafanya mchezo nn utafunja chaga ww.
Kama unataka hata daladala usipande jaribu kuwa hivyo uwone utalipia siti 2 kwa mwili wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Oya niaje. Leo ndio ile siku ya kiepe yai[emoji23][emoji23][emoji23] simtank unafanya mchezo nn utafunja chaga ww.
[emoji23][emoji23][emoji23] vp mzungu kaifurahia au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inakuwa kero Sasa khaa!! Mwili Kama huo inabidi niwe na gari yangu Tena si vile vibaby walker ..inatakiwa prado au cruser aiseeKama unataka hata daladala usipande jaribu kuwa hivyo uwone utalipia siti 2 kwa mwili wako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] gari gari tu kwani babywalker hauenei?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inakuwa kero Sasa khaa!! Mwili Kama huo inabidi niwe na gari yangu Tena si vile vibaby walker ..inatakiwa prado au cruser aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Na unene wa simtank..acha masihara wewe..[emoji23][emoji23][emoji23] gari gari tu kwani babywalker hauenei?
[emoji23][emoji23][emoji23] unanichekesha ujue navuta picha kama nakuona vile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya nalala ivyo[emoji23][emoji23][emoji23] unanichekesha ujue navuta picha kama nakuona vile.
Hatimaye umepata usingizi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi..nataka kusali hadi nitakapo sinziaHatimaye umepata usingizi sasa.
[emoji15] Ee embu acha uvivu sali maliza lala mbona simple tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi..nataka kusali hadi nitakapo sinzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kwenye haraka hapa. Bado hajafika[emoji23][emoji23][emoji23] vp mzungu kaifurahia au?
Usije kutuangusha sasa katika chama cha mabaharia huyo bibie anatakiwa ale mpaka akahadithie huko kwa mashost zake.
Stay tunedUsije kutuangusha sasa katika chama cha mabaharia huyo bibie anatakiwa ale mpaka akahadithie huko kwa mashost zake.
Nakubali mzee wangu leo huyo bibie balaa analo mezani hapo sio kitoto.Kiepe ndio kipo jikoni. Uwe unanirekebisha nikikoseaView attachment 1351462
Sent using Jamii Forums mobile app