Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,579
- 5,792
Never give up [emoji123]
[emoji23] unaweza kuta yupo na kirungu tu hapo.Atakuwa na SAR huyu[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Karibu[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Hahaha! Unalinda geti au mali gani?Tunashukuru kwa matusi yako mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Niko na magazine tu ya AK 101Upo na bunduki gani hapo askari?
Umeanza uchawi mapema kiasi hiki?Bila shaka ulipigwa Ban.. au
Hahahaaa enjoy na new id kamanda..Umeanza uchawi mapema kiasi hiki?
vzr askari.Niko na magazine tu ya AK 101
Pamoja afande😂vzr askari.
Mimi mgeni humu jamvini jameni sina hata mwezi😝Hahahaaa enjoy na new id kamanda..
Ni up coming? Maana naona channel bado haijashiba kabisa wananchi.Good Music, good night.View attachment 1351371
Unapenda BBall?Pamoja afande[emoji23]
Kama kawa hommie.
Uyo dada Tiny atakua ni up coming nimefaham kwenye hii nyimbo hao walio shilikishwa Halisi the Band wapo kitambo kwenye music wanaimba vizuri sana.Ni up coming? Maana naona channel bado haijashiba kabisa wananchi.
Maana subscriber ni wadogo hao alafu pia loc naona inaonyesha +254 area code.Uyo dada Tiny atakua ni up coming nimefaham kwenye hii nyimbo hao walio shilikishwa Halisi the Band wapo kitambo kwenye music wanaimba vizuri sana.
Good Music, good night.View attachment 1351371