Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,591
- 30,598
Ha haaa ..Yupo na Hamida saizi huyo.
Hamida mtu mbaya sana.
Ha haaa ..Yupo na Hamida saizi huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23] simiss ndio kampora yule baharia wa buza Hamida.Ha haaa ..
Hamida mtu mbaya sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo msemo tu jombaa[emoji23][emoji23][emoji23] sasa dawa ya moto si moto au?
Baharia wa buza yupo hapo juu analalama ttcl wamemuibia..wamuonee huruma jamani..hamida kaporwa yeye na bado ttcl wamemuibia[emoji17][emoji23][emoji23][emoji23] simiss ndio kampora yule baharia wa buza Hamida.
Usiwe mbishi mwanamke chukua hayo maelekezo ni dawa ujue.
yupi huyo anayelalamika kuwa TTCL wamemuibia [emoji23][emoji23]Baharia wa buza yupo hapo juu analalama ttcl wamemuibia..wamuonee huruma jamani..hamida kaporwa yeye na bado ttcl wamemuibia[emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa kwa asiyetaka kulala..Mimi nataka kulala.Usiwe mbishi mwanamke chukua hayo maelekezo ni dawa ujue.
Eeh huyohuyo amecomment huko juuyupi huyo anayelalamika kuwa TTCL wamemuibia [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] piga simu mzee wangu pambania hela yako hiyo.TTCL wamaeiba hela yangu
nilimuoma leo sijui kwenye uzi gani vile kisha ndio sijamuona tena unataka kubembelezwa saa 8 hii.Dawa kwa asiyetaka kulala..Mimi nataka kulala.
Dah drizzle hakuji tu,[emoji22]..muda muafaka wa kunibembeleza nilale ndiyo huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mzee uko na feel gud ww?Wazee wa usiku wa manane kwema?
Ndiyo..muda mzuri huu na kausingizi ka kubembelezwa kananoga muda huunilimuoma leo sijui kwenye uzi gani vile kisha ndio sijamuona tena unataka kubembelezwa saa 8 hii.
Ningekuwa na weza ningechukua hilo jukumu mm sasa unfortunately siwezi siko vzr sana huko.Ndiyo..muda mzuri huu na kausingizi ka kubembelezwa kananoga muda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe upo vizuri wapi etiNingekuwa na weza ningechukua hilo jukumu mm sasa unfortunately siwezi siko vzr sana huko.
[emoji23][emoji23] kwenye one on one katika 6 kwa 6.
Aisee..hongera kwa Hilo..ila jitahidi ujue kubembeleza ili umpendae aenjoy full package[emoji23][emoji23] kwenye one on one katika 6 kwa 6.
Vyote vyote naweza niko 50-50 caring ndio niko 100% kushinda vyote.Aisee..hongera kwa Hilo..ila jitahidi ujue kubembeleza ili umpendae aenjoy full package
Sent using Jamii Forums mobile app