JamiiForums Usiku wa manane
Alamsik Mrs Miller.

Hiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?

Mbona hili jambo kila mtu analiongea, lisemwalo lipo kama halipo laja so jiandae kulipokea

Kama ni kweli semeni tuache kumtania tania Bbade. Ameaga hapo juu kuwa anakwenda kulala nikamtania kuwa aniote akajibu kwa emoji ya vilio. Isije kweli ikawa tunawakwaza watu humu ohoo !!!

Kanisa la kwanza la Orthodox huko Ethiopia mnamo karne ya 6AD.


Kweli kabisa hata Mimi niseme na Ngedele wangu..
 
Back
Top Bottom