Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Shauri yako. Mtoto akililia wembe....Wanyantuzu hawanisumbui akili hata kidogo nawamudu vizuri sanaNitalala mzungu wa nne katikati yenu
Shauri yako. Mtoto akililia wembe....Wanyantuzu hawanisumbui akili hata kidogo nawamudu vizuri sanaNitalala mzungu wa nne katikati yenu
Wanyantuzu hawanisumbui akili hata kidogo nawamudu vizuri sanaNitalala mzungu wa nne katikati yenu
M pm mods ndio nini?? Yaani unajua JF ni kama sayari yAke mna chats zenu, mna accounts zenu hadi raha hapana Ili niweze kuwa na guts za kutapika jina itabidi libadilike ndio tutaenda sawa na wasadikikA
Mkuu sijakuelewaM pm mods ndio nini?? Yaani unajua JF ni kama sayari yAke mna chats zenu, mna accounts zenu hadi raha hapana Ili niweze kuwa na guts za kutapika jina itabidi libadilike ndio tutaenda sawa na wasadikikA
Mkuu sijakuelewa
Hapa lindoni pako swalama?
Shauri yako. Mtoto akililia wembe....
Eti hajui ku PM wala hajui lolote kuhusu moderators
2014 nilifungua account ya jf basi leo nimeona link kwa groups za wassap ndio nikataka nisign up ikasema I already have an account, so nimetumia hiyo lakini 2014 kulikua hakuna tatizo la watu kutoa maoni yao sasa I cannot use my name na kua natoa maoni humu ndio nikaomba kujua how can change my name. Someone suggested PM sijui pm ni nini,
Hiki ki mvua kinaharibu lindo
Siyo mbayaLeo tupo pamoja lindoni hapa wakuu
Siyo mbaya
Aisee mkuu upo?
Mkuu vipi walinzi wakoloma mini?Sidhani kama kunausalama
Ticha unaumwaa?Ticha mimi leo nipo kama sipo.