Kweli kabisa hata Mimi niseme na Ngedele wangu..Kama ni kweli semeni tuache kumtania tania bbade. Ameaga hapo juu kuwa anakwenda kulala nikamtania kuwa aniote akajibu kwa emoji ya vilio. Isije kweli ikawa tunawakwaza watu humu ohoo !!!
Hizo bange zitakuua maana kila nikikukataza kuzivuta hunielewiKanisa la kwanza la Orthodox huko Ethiopia mnamo karne ya 6AD.
Ulichoandika,Nini usichokielewa Kuingiza au kuingizwa?![]()
Kwa jibu hili tu basi we tolu....au kati kwa kati...Ngoja kukicha niende kwa fundi seremala akanipime kisha nitakupa jibu kama mrefu au mfupi
![]()
![]()
![]()
Kumkumbuka inatosha, unafikiri sijui janja yako ya kutaka kunitumia I'd yako nyingine.


bahati yako, leo ningejua swaga zako kwa waremboTupo. Mali yetu, watu ndio sisi.Wakuu mpoo
Karibu chamanihumu ndani kuna watu wawili kila siku nikipita wapo online usiku mnene, binafsi hii ni ratiba kila siku kuchelewa kulala, ila hawa wakuu daaaaa au ndio namna ya ku'survive the night duty
Mbona hili jambo kila mtu analiongea, lisemwalo lipo kama halipo laja so jiandae kulipokea
Don't take it seriousKama ni kweli semeni tuache kumtania tania Bbade. Ameaga hapo juu kuwa anakwenda kulala nikamtania kuwa aniote akajibu kwa emoji ya vilio. Isije kweli ikawa tunawakwaza watu humu ohoo !!!
Sometimes it can be serious. You never know.....Don't take it serious