Au mtakatifu kamteka baada ya kujua amemzidi kete kwako?![]()


mtakatifu maneno mengi hana lolote.mwanaume wa dar yule kazi kuchambana na dada zakeMaliza kamanda,fursa hyHumu naona amebaki Zurri na wanwake watatu .......
Hujaacha tu kukandamizia?Maliza kamanda,fursa hy
Ayyaaaaaaa,unaniharibia aisee......Maliza kamanda,fursa hy
Alaa kumbe!mtakatifu maneno mengi hana lolote.mwanaume wa dar yule kazi kuchambana na dada zake

Hapa nilitaka nilete zile za "french" ule mchezo wa draft yaani nakula navyotaka....Maliza kamanda,fursa hy
Umeamka au ndo unalala?Mhhhhhh!!! Swadatah!
Kitendawili....tega.....Sasa,nataka niwaachie maagizo,kuna binti mmoja huwa ananitesa sana moyo wangu,yaani nikiona tu amekatiza hata kutoa tu salamu nafsi yangu inatulia......
Mtaje, na utuambie akija tumwambie nini?Sasa,nataka niwaachie maagizo,kuna binti mmoja huwa ananitesa sana moyo wangu,yaani nikiona tu amekatiza hata kutoa tu salamu nafsi yangu inatulia......
Akitegua kitendawili chake unitagKitendawili....tega.....
Nikupe mji....?
Akija umwambie tu Zurri alikuwepo hapa,maana hata yeye hajui kama nimemzimikia....Ila atajua tu,kwa jinsi nilivyo....Mtaje, na utuambie akija tumwambie nini?
Hapa sihitaji mji,sababu nakitegua mwenyewe hiki kitendafwanga... Hapa limeniponyoka tu...Kitendawili....tega.....
Nikupe mji....?