Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Wajameni leo lindoni niko mpaka asubuhi.




.
Nimekuliza. Whai?
Alamsik Mrs Miller.
Hiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?![]()
Mbona hili jambo kila mtu analiongea, lisemwalo lipo kama halipo laja so jiandae kulipokea
Kumbe muke ya MTU!
Kama ni kweli semeni tuache kumtania tania Bbade. Ameaga hapo juu kuwa anakwenda kulala nikamtania kuwa aniote akajibu kwa emoji ya vilio. Isije kweli ikawa tunawakwaza watu humu ohoo !!!
Sure


Sometimes it can be serious. You never know.....
Yaani ukinikwaza wewe, nakupikia Ugali Dagaa tuje tuyamalize...baada ya kushibaaa
Unaniomba tena?Na mimi naomba nikukwaze!
kwema karibuKwema?
Asante kamanda. Naona walinzi wamesinziakwema karibu
Tupo mkuu karibu tudumishe lindoMpo ?