JamiiForums Usiku wa manane
Hahaha ila usimdharau Kim huenda ana silaha za siri za maangamizi.
Hana mitambo sasa ya kurusha silaha hizo ila US ana automated machine yaan ni God given.

Ukizaliwa usukumani tu utawapa tabu sana watu maana samli, michembe, mbute, ugali wa mhogo, sangara, sato n.k sio vitu vya mchezomchezo muulize Shimba YA BHUYENZE
 
Mkuu unanikumbusha nyumbani...Dah !!!
 
Thad wewe ni mrefu?

446734541_248973.jpeg
 
Back
Top Bottom