HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nilikuwepo 








Utaweza tu ....Nipelekeni Bomani....kanisani...za milele sitaweza kuvumilia
leo weekend inaanza nahisi hawapo lindo kabisaAsante kamanda. Naona walinzi wamesinzia
Unamwambiaje mdau ?Yaani ukinikwaza wewe, nakupikia Ugali Dagaa tuje tuyamalize...baada ya kushibaaa
Upo?Mpo ?
Sawa...ila usikawie.Nilikuwepo![]()
Ndio ujue siwezi....Utaweza tu ....
Amenielewa....Unamwambiaje mdau ?
Ndio ujue siwezi....
Mambo ya maisha...tutavurugana tu
Usinipe majaribu yatakayo nishinda....Hata vikombe kabatini vinagongana kisha vinawekwa vizuri seuze nyinyi wenye akili timamu ?
MzigoKuna MTU namtafuta humu ,bi mdada mmoja nina mzigo wake toka kwangu ,mkimuona mumwambie anione niko kibandani kwangu kule mwisho

Hakuna kwenda bomani wala bwawani hapa .... Vumilia myamalizeUsinipe majaribu yatakayo nishinda....
Nipeleke Bomani
Nipo nakusubiriUpo?
Leo lindo lipo timamuTupo mkuu karibu tudumishe lindo
Utasubiri sana.....nishapandishwa cheo nasikia....Nipo nakusubiri
Halija noga kivile,tatizo kuna tetea mmoja tu humu bbadeLeo lindo lipo timamu
Hakuna kwenda bomani wala bwawani hapa .... Vumilia myamalize
Nielekeze cha kufanyaKandamizia tu Best