Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Unitumie?kesho nikutumie?
Si ulete mwenyewe? We si huogopi Wanyantuzu wewe?
Unitumie?kesho nikutumie?
Hapo ndipo ninapowapendea wanyantuzuBasi tunaachana na story za kivita
Kiswahili kizuri.embu fafanua nipate mwangaza maana ngedele kesha simama.Vyovyote iwavyo, imeingizwa na nani hapa?![]()
Dawa ya baunsa kiwembe.
Nimeupenda huu msemo japo sipati picha baada ya kumcharaza baunsa kiwembe inakuwaje![]()
Mbona hili jambo kila mtu analiongea, lisemwalo lipo kama halipo laja so jiandae kulipokeaHiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?![]()
Nina kipaji kikubwa cha kuunga upya mioyo iliyopondeka na kuraruliwa vipande vipande huku na huko. Niletee huo moyo usiogope !!!niliwapa wakaurarua na kunitupia ukiwa vipande vipande
Kumbe muke ya MTU!Hiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?![]()
Waingizaji (Mtenda).Vyovyote iwavyo, imeingizwa na nani hapa?![]()
Mkuu unanikumbusha nyumbani...Dah !!!
kesho nikutumie?
Kama ni kweli semeni tuache kumtania tania Bbade. Ameaga hapo juu kuwa anakwenda kulala nikamtania kuwa aniote akajibu kwa emoji ya vilio. Isije kweli ikawa tunawakwaza watu humu ohoo !!!Mbona hili jambo kila mtu analiongea, lisemwalo lipo kama halipo laja so jiandae kulipokea
Hapa mimi sitii neno wacha nisubiri siku rasmi ya vita. (Nitakuwepo kama mjumbe wa UN)Hana mitambo sasa ya kurusha silaha hizo ila US ana automated machine yaan ni God given.
Ukizaliwa usukumani tu utawapa tabu sana watu maana samli, michembe, mbute, ugali wa mhogo, sangara, sato n.k sio vitu vya mchezomchezo muulize Shimba YA BHUYENZE


Ngoja kukicha niende kwa fundi seremala akanipime kisha nitakupa jibu kama mrefu au mfupiUnaamka asubuhi unafukua kiazi chako unakwenda nacho shule ndo snack au lunch kabisa. Siku nzuri hizo zimeshapita !!!Hatari sana, kipindi hicho wazee wanatuchomea viazi na mbute kwenye muyanga. Kweli home sweet home
nikuambie i'd yake umtumie PM?
Kanisa la kwanza la Orthodox huko Ethiopia mnamo karne ya 6AD.Hiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?![]()
Nini usichokielewa Kuingiza au kuingizwa?Kiswahili kizuri.embu fafanua nipate mwangaza maana ngedele kesha simama.
