Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Heading to the office...Byutifu
Aisee kama ana cha Malawi niletee
Kumbeee hongera sanaKukesha raha tena km una mwenza unasubiria cha asubuhi unawahi job km upo kwa starehe ndo mida mizuri hii....
Wapi huko?Naenda kuangalia lango la upande wa pili kama liko wazi
Ila avatar yako inatukosha wengi huo mzigo ukipishana nao unauchk mpk![]()

Ndio moja kwa moja humjui nini?Naliacha lindo muda si mrefu naomba usichelewe
Aah wapi, huo sio aina ya mtego wangu kabisa (sizitaki mbichi hizi)Bila shaka kwa avatar hiyo na wewe utanasa
.Oh! Hayo ndo madhara ya kufunuafunua hatimae umefunue yasiyokuhusu. Usindoke bwana SHIMBA YA BUYENZE na Nleterewa Nganengo hawatanielewa

nimekoma kufunuaWewe kaa hapa naenda kuangalia mimi hushindwi kututorokaNaenda kuangalia lango la upande wa pili kama liko wazi
Mi ntakamatwa tu kwa hili jiandae kunidhamini![]()
Umesahau ni marufuku kuangalia mizigo ukiwa barabarani eeh
Hapo nyuma tu sio mbaliWapi huko?
Nikusindikize?
Kama ni ivyo utabaki peke akoNdio moja kwa moja humjui nini?
Hiyo sheria tuliandamana ikafutwa.![]()
Umesahau ni marufuku kuangalia mizigo ukiwa barabarani eeh
HahahahaMi ntakamatwa tu kwa hili jiandae kunidhamini
Hivi imefutwa?Hiyo sheria tuliandamana ikafutwa.
Nahisi pm yako huwa inafurika hivi sijawahi hata kukupa hongera aisee kishi!!!!.nimekoma kufunua
Kaa bana ...napitia na hapo kwa mangi nitakuletea kinywaji chako pendwaWewe kaa hapa naenda kuangalia mimi hushindwi kututoroka