Jamani mwenzenu kutokana na hali yangu
Leo mapeema!
Pamoja mkuu wengine ndio tumetoka hukoJamani mwenzenu kutokana na hali yangu
Leo mapeema!
[emoji23][emoji23][emoji23]eti kama uchebeTupangie tu tarehe nyingine ya kesi. Ntamganda Ice mithili ya luba hadi aombe msamaha. Naweza kuleta hapa post zote kwenye ule uzi wa Dina alivyokua anajiachia kama uchebe hadi watu wanambembeleza awatajie mganga wake...mnakumbuka alivyoshtuka baada ya kuona Ney kaibuka? Ila binti nae ana roho ngumu yule utafikiri alqaeda.
Tena afadhari umejiletaMuoga sana yule.
Halafu hii kesi ya leo lazima angekimbia maana wote ni rafiki zake
Hivi ni ww kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu jirani yako alivyo mtu mbaya leo hayuko hapa.
Njoo hapa mapema huu mwandiko ni wako kweliYaani kwa huyo wakili wako kesi imewashinda tayari.
Wakili tapeli huyo
Kichwa Kichafu,dogo utapeli hujaacha tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samHilo ndio jambo la muhimu kwa sasa. Tena mwambieni gubu baya, akiendekeza roho mbaya atapauka hatari.
Haya nso maneno sasaSkiliza Ney nakupenda kuliko mtu yyte duniani ( yeah may be my mom, atakuzid kiaina).
Dont ever do that again, nimekusamehe
Tupumzike kwa amani basi.
Yameisha
Kuna mtu alihaki akili yangu[emoji23][emoji23]Njoo hapa mapema huu mwandiko ni wako kweli
Mimi hapa.Tena afadhari umejileta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi sasa nimejua nani anahusika na njama hizi za kupoteza kuwa wakili.
Nimefungua kesi ramsi kumshtaki kimwana carbamazepine kesho kesi itaendelea humu
[emoji23][emoji23][emoji23]Nina record Kali Sana juu ya kushinda kesi zaidi za lissu. Utakuwa umepoteza wakili makini kiutani utani
Kwa KLM unashinda mchana kweupeeeecarbamazepine ni hasimu wangu toka kitambo, kuna group lao wanajiita roho mbaya, ila kwenye hii kesi ni uzembe wako kiongozi.
Unaona sasa, unaanzaje kutingwa na shughuli nyingine na kuipa hii kesi umuhimu mdogo? Kuna mtaalam anaitwa KLM atasimamia huu mtiti.
Wakili mwenye suti ya pinki afukuzwa kazi[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mkuu sikuwepo on air. Kazi nimefukuzwa hata kabla sijaanza itakuwa huyu carbamazepine kaleta zengwe.
Kumbe akili Si device haya naomba maelezo yakutosha nani alikuruhusu uanze kutumia vile vitu wakt tulikubaliana umeachaKuna mtu alihaki akili yangu[emoji23][emoji23]
We ndio ulinifungia kule hafu unasemaMimi hapa.
Wewe umekimbia kesi humu.
Halafu nasikia umekuwa wakili,utapeli umeanza lini?
Mchina mweusi ndo aliniletea akaweka kwenye chupa ya novida[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe akili Si device haya naomba maelezo yakutosha nani alikuruhusu uanze kutumia vile vitu wakt tulikubaliana umeacha
Acha kunisingizia dogo bhnaWe ndio ulinifungia kule hafu unasema
nilikimbia unanilazimsha kumwaga
kuku wachache kweny mchele kidogo.