JamiiForums Usiku wa manane

Hii style inaitwa mbwa kala mbwa.
Kesi iliyopo mezani ni ney kumuita jose baby wakati ice anaumwa.

Iceman 3D alivyokua anajifungua na kunyoosha mbavu anaita Baby kwenye kadamnasi haikuwa nongwa kwa Neybright ? Au kwa vile Ney mwanamke? Mie mwenyewe kidume ila nilinyanyasika sana, mpambe wetu ice alitukaanga mbaya kwa Dina
 
Back
Top Bottom