Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Tumeambiwa tupende kushukuruKwani ulikwepo? Ha ha ha haaaaaaaa

Tumeambiwa tupende kushukuruKwani ulikwepo? Ha ha ha haaaaaaaa

Nawe piaUsiku mwema
Nini tenda hilo bundle LA usingizi niungie Mimi huku
Karibu sanaKwema kabisa mkuu. Ndio nimeingia nadhani hadi majogoo
HahahaNa wewe pia
Anhaaa!Brother huku sijaonekana toka ile day tumetoboa

![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uwakili wake huyu ni ule wa baraza la usuluhishi kesi za ngazi ya wilaya tu hawezi

HahahahaSio tu kwamba nimemfuta kazi, nafuatilia vyeti vyake kuanzia vidudu hadi school of law.
Nina record Kali Sana juu ya kushinda kesi zaidi za lissu. Utakuwa umepoteza wakili makini kiutani utanicarbamazepine ni hasimu wangu toka kitambo, kuna group lao wanajiita roho mbaya, ila kwenye hii kesi ni uzembe wako kiongozi.
Unaona sasa, unaanzaje kutingwa na shughuli nyingine na kuipa hii kesi umuhimu mdogo? Kuna mtaalam anaitwa KLM atasimamia huu mtiti.
![]()
![]()
![]()
Halaf ana mwambia Samaritan eti yeye ni wakili wa High court
Hahahaha nikuwa wakili magumashi hapa namtafuta huyu carbamazepine lazima nifungue kesi juu yake maana kanichafua.Sio tu kwamba nimemfuta kazi, nafuatilia vyeti vyake kuanzia vidudu hadi school of law.

Ni jirani yangu lazima nimshukuru![]()
![]()
![]()
![]()
Kk wewe hikuhusu hii!
Asante kamanda. Japo huwa huonekani Mara kwa Mara bossKaribu sana
Hahaha hivi vipaji vya watu Kama dark angelAnhaaa!
Mi mwenzio kumbe nlimuwa naumwa nilijua natoboa kipaji![]()
![]()
![]()
Hadi sasa nimejua nani anahusika na njama hizi za kupoteza kuwa wakili.Uchunguzi wa awali unaonyesha ni mbeba mafail tu na kupanga nyaraka tu, hajafikia ngazi ya kuamua kesi wilayani.
Na wewe piaUsiku mwema
Sawa mkuuImarisheni lindo
Nitarudi kufunga geti
Uchunguzi wa awali unaonyesha ni mbeba mafail tu na kupanga nyaraka tu, hajafikia ngazi ya kuamua kesi wilayani.
