JamiiForums Usiku wa manane
Kuna muamala nilimtumia, akavunga eti hela ndogo, nimuongezee na ya kutolea. Nikawapigia voda nimekosea namba, ndio bado anagombana na wakala. Kanifungulia kesi huku, Kichwa Kichafu wakili msomi amejitolea kunitetea
Yaani kwa huyo wakili wako kesi imewashinda tayari.
Wakili tapeli huyo
Kichwa Kichafu,dogo utapeli hujaacha tu?
 
Back
Top Bottom