Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Najua heshima ya kiume lazima isimame mahala pake.hahaha sio kweli, the Guy anaonekana anampenda sana ndio sababu bado anahasira mpaka ss hivi, ingekuwa sivyo yangekuwa yameshaisha haya [emoji1][emoji1][emoji1]
Trust me...after this saga they will be as stronger as the...... [emoji23][emoji28][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Uzuri ni kua Ney amejitahidi kurudi chini.