Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Kama hajakusikiza nambieAt least niskilize kwenye hili
Upumzike basi
Kama hajakusikiza nambieAt least niskilize kwenye hili
Upumzike basi
Nisamehe wangu, nimetambua kosa languBraza una mek sense
Mi najua Ney is the best in the world.
But she was wrong here na sku penda
Unataka bakora ama sauti ya kiume inaongea bado upo?Sema chochote wangu
Waombe liftJama mida ya wanga hii
Wanapita na nyungo kwa kasi huko nje
Sometimes you gotta fight to be a man, huwa si fight mpaka nione mambo kweli hayajakaa sawaOf course you don't have to fight to be a man.
Kwahiyo unataka ney asisamehewe????Mue makini kuchukulia baadh ya vitu simple![]()
![]()
![]()
Mpaka huzuni yangu inaisha yani dah
Lift ya kwenda wapi maserati?Waombe lift

eeh na huku upoKwahiyo unataka ney asisamehewe????
Ameshajua tayari nini kakosea na hatorudia natumai yameishaBraza una mek sense
Mi najua Ney is the best in the world.
But she was wrong here na sku penda
Wala. Ukatembee uone huku na huko,wakuache marekani waendelee na mishe zao. Wakupitie wakuache home wakiwa wanarudi. Omba usije achwa marekani hukoLift ya kwenda wapi maserati?
Hunitakii mema
Unataka nikaliwe nyama sio![]()
![]()
Skiliza Ney nakupenda kuliko mtu yyte duniani ( yeah may be my mom, atakuzid kiaina).Nisamehe wangu, nimetambua kosa langu
Huku ndio uwanja wa nyumbanieeh na huku upo
hahahaWaombe lift
Vile amemruhusu akalale nzani ni kukusanya mafaili tu zaidi yataishia hukoNoo namaanisha na yeye aanguke apokee msamaha wa mwenzake tufunge kesi.
Mapemaa au umechoka?Mie Naenda zangu kulala bana
Hahahahhhh..Wala. Ukatembee uone huku na huko,wakuache marekani waendelee na mishe zao. Wakupitie wakuache home wakiwa wanarudi. Omba usije achwa marekani huko
Braza nsha msamehe asilale mtu na kinyongo.Ameahajua tayari nini kakosea na hatorudia natumai yameisha
Nimejikuta ugenini... ngoja niendelee kuzurura, nasihisi sikulipia usingiz, umegoma kabisaHuku ndio uwanja wa nyumbani