Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Basi inabidi tuchanganye vyote[emoji23]Aaaaghaa wapi weweeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hufai kwa chumvi wala sukari
Basi inabidi tuchanganye vyote[emoji23]Aaaaghaa wapi weweeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hufai kwa chumvi wala sukari
Shem nawashukuru wote jaman [emoji23]Toka hapa[emoji57] we si unamshukuru kaka ko tu.
Ngoja nikalale mie..
Asante, nawe pia. Sleep well [emoji4]Usiku mwema
Na wewe piaGood naaaiiitttt...love you all[emoji8][emoji8][emoji113][emoji113][emoji16]
Nimefukuzwa kazi kabla sijaanza kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakuwa hakimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee jamaa nimekufuta kazi. Nilitaka nione kiwango na umahiri wako kwenye hii kesi, umejichimbia unachungulia tu inavyounguruma hautii hata like achilia comment.
Ntajisimamia mwenyewe kesi yangu endapo Thad ataamua kuipeleka mbele
Brother huku sijaonekana toka ile day tumetoboaHahaha
Braza jamaa ali epa
Nimemtuma njiwa analeta salamu, asipofika utaniambia, hachelew kusema amekamatwa na trafficNawe pia
Hamna mkuu sikuwepo on air. Kazi nimefukuzwa hata kabla sijaanza itakuwa huyu carbamazepine kaleta zengwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo makini na hali yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah hadi saivi siamini Kama nilipitwa na hii kesi hafu nimerudi naonekana Kama nilikuwa chimboYupo makini na hali yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaHapana kaka, niliamua nisichague upande.
Sasa kesho atatoaje maelezo huku alikuwa amelala[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaaaghaa. We jamaa hufai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo njema kiongoziDohh ngoja nikae tayari tayari na panga kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwakili wake huyu ni ule wa baraza la usuluhishi kesi za ngazi ya wilaya tu hawezi
HahahahaHahahaha hapana Kaka ndio nimeshtuka toka mda ule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasi tunakushukuru pia[emoji23]
Kwema kabisa mkuu. Ndio nimeingia nadhani hadi majogooSafi chief, za kupotea?