Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Ha ha haaa basi sawaAtavuruga lindo maana anaweza kuja kupata mention nje ya muda na ataingia kuvuruga
Ha ha haaa basi sawaAtavuruga lindo maana anaweza kuja kupata mention nje ya muda na ataingia kuvuruga
Pole dear kesho basiMashikoro mageni tu
Usijari kila la kherKweli uliniona![]()
![]()
![]()
sasa baba chanja,Leo sitopiitia kule bondeni. Pengine kesho mchana nitakuja,nitakuwa nimepafungua kama kawaida
Wewe nakuaminia mana nakuonaga hiyo mida pamoja ila uweke angalizo wasije saa moja kutuletea fujo humuNgoja na mimi niegeshe nitarudi baadae kukagua lindo
Hilo lazima lipatiwe ufumbuziWewe nakuaminia mana nakuonaga hiyo mida pamoja ila uweke angalizo wasije saa moja kutuletea fujo humu
hahaha haya chiefNgoja na mimi niegeshe nitarudi baadae kukagua lindo


LohPole mpenzi, nilikuwa nakuombea hapa ujue, Vipi unaendeleaje lakini?
am here sasaWacha wee ...
Jos.....alisema atarudi sijui ameshafika?
baby shem nakusalimu tuHawez sema hayo maneno kwangu.
Yuko Napa acha aseme mwenyewe
sawa tuNiwatakie usiku mwema wapendwa wangu wote, mkeshe salama na muamke salama pia.
![]()

Wapo wapi hao leo?GOLDEN J now nani yupo hapa nimpe offer ya vinywaji huku tukienjoy mziki mzuri from skylight band
Naona kazi imewashinda leoWapo wapi hao leo?