Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Ilikuwa wapi kuniona huko baba chanja?? Jana nilikosa kabisa usingizi. Leo sitaki yanikute tenaNmekuona sana tu
Ilikuwa wapi kuniona huko baba chanja?? Jana nilikosa kabisa usingizi. Leo sitaki yanikute tenaNmekuona sana tu
Ama kwwli napitwa poleShemeji yangu banah, naona hupati notification, mbona nimekusabahi muda mrefu sana
Nime mcrashDaaaah hata wewe Miller?
SawaUtafanya jaribio la kuomba msamaha ukipata nusu ya marks zote umesamehewa.
Notes zake jisomee tabia zote za walimu wako na tabia zako zote ulizowakwaza walimu wako

Pengine, lakini kwangu web iko njema sanakama unatumia PC iko poa sana, upande wa simu nadhan inategea uwezo wa simu.
Na wewe pia my dearNiwatakie usiku mwema wapendwa wangu wote, mkeshe salama na muamke salama pia.
![]()
Ukimuita wewe atakuja hata keshoAtakuwa anaota yupo Dunia nyingine kwa sasa, pia huwa simuoni hapa lindoni
namshukuru Mungu alijfungua. leo nipo lindoni nkasema ngoja nicheki ukurasani kuna jipya gani...Vipi, alishajifungua?
Na Mimi natumia maneno hayahaya,Niwatakie usiku mwema wapendwa wangu wote, mkeshe salama na muamke salama pia.
![]()
Una kohoa kaka anguKoh koh koh
Usiku mwema luvNiwatakie usiku mwema wapendwa wangu wote, mkeshe salama na muamke salama pia.
![]()
Hongera sana! Karibunamshukuru Mungu alijfungua. leo nipo lindoni nkasema ngoja nicheki ukurasani kuna jipya gani...
Sanaaa nakumbuka nilikupaga dawa mimi nimeisahauAhahahaaaaaa kuna raha yake ujue
Imenikera snaa. Naenda kulala mie sasa hivi. Usiku mwema mpenzi baba chanjaNapitwa ile mbyaa
Kama kawaidaJf usiku wa manane
Nini shida ShemJamani nimechelewa lindo naumwa hatariii
Tukeshe bhanaaaHahaha kumbe ushausoma mchezo, nina uchovu usio wa kawaida sema Leo kumechangamka sana. Ngoja nipumzishe bawaba zangu sasa.
Kweli kabisaWeb haifai kama una haraka