Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Nimeona umeanza kuvizia lindo tangu saa 23:27.Chukua hii basi MrView attachment 710848
Wanajumbe naomba kuwasilisha hoja mezani
Nimeona umeanza kuvizia lindo tangu saa 23:27.Chukua hii basi MrView attachment 710848
Well comePopozzzzz
Simple tu isiyokuwa na logo yeyote, pia sio kubwa hivyo itanipwayaWewe unapenda IPI nikutafutie??


AaahBaby I miss you

Funguo mlimuachia nani alfajirii?Mbona Leo mmewahi kufungua geti?
Nishawasilisha hoja mezani, maoni ya wajumbe nayasubiriMbona Leo mmewahi kufungua geti?
WoyooooPopozzzzz
Nikuletee lini tafadhali?!Simple tu isiyokuwa na logo yeyote, pia sio kubwa hivyo itanipwaya![]()

Mwenyewe nilitaka kuuliza kwani geti lafunguliwa na kufungwa saa ngap?Nimeona umeanza kuvizia lindo tangu saa 23:27.
Wanajumbe naomba kuwasilisha hoja mezani
Kesho mchana ili niivae jioniNikuletee lini tafadhali?!![]()

Mapenzi kizungumkuti.Aaah
Jamani
Mimi huyu Ney kanishnda
Yaan jana mi naumwa yeye ana bebika huku.
Ney stak kukuona tenaa
![]()
Karibu chiefNimeona umeanza kuvizia lindo tangu saa 23:27.
Wanajumbe naomba kuwasilisha hoja mezani
Nipo hapa mkuuJamani Mwifwa mzee wa kuliamsha dude asububi yupo?
Hivi kwa nn jina lako ni gumu sana?Mwenyewe nilitaka kuuliza kwani geti lafunguliwa na kufungwa saa ngap?
Usijali mkuu sifa na shukrani zaidi kwa MuumbaAhsante wote mlo nijulia hali jana
Naendelea vzuri
Kwa hapa Ney alivuka mipaka i was sick, she is flirtng with the guy.Mapenzi kizungumkuti.
Bosi karib sja zoea kukuona mida hiiNipo hapa mkuu
