Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Ngoja tulipeleke suala lako kamati ya nidhamu, majibu yako kesho.Samehe 7*70
Ngoja tulipeleke suala lako kamati ya nidhamu, majibu yako kesho.Samehe 7*70
Pole sana mkuu.mmetisha wakuu kwa kudumisha huu uzi. nakumbuka kipindi wife yupo siku za matarajio ya mtoto wetu wa kwanza nilikuwa silali nkamwambia wewe lala maumivu yakizidi ntaacha jamiiforums ntakupeleka hospital aisee kumbe alikuwa uwoga cjui ndo mtoto anageuka nilikesha mwezi mzima macho. Mungu awabariki mnaodumisha uzi
![]()
![]()
![]()
Ama kweli ule msemo wa rafiki zako wa m*v* ya kale hayanuki umetimia. We si ulituambia umepata ticha hensamu.
Anyway mwombe kwanza @ Mwifwa msamaha akikubali nakurudisha class.![]()
![]()

My kakaAisee, tatizo damu ni nzito kuliko Maji siku zote, hili jambo itabidi tulizungumze chemba kidogo mshiki. Nimekuhamu zaidi ya machozi ya simba.
karibu sanaYeah I wish .. Hope soon ntacop wacha niusome mchezo taratiib.
Nmekuona sana tuJana ilikuwa hatari,mpaka nikaji force kulala aise. Metoboa mpaka Saa 9
Vipi, alishajifungua?mmetisha wakuu kwa kudumisha huu uzi. nakumbuka kipindi wife yupo siku za matarajio ya mtoto wetu wa kwanza nilikuwa silali nkamwambia wewe lala maumivu yakizidi ntaacha jamiiforums ntakupeleka hospital aisee kumbe alikuwa uwoga cjui ndo mtoto anageuka nilikesha mwezi mzima macho. Mungu awabariki mnaodumisha uzi
kama unatumia PC iko poa sana, upande wa simu nadhan inategea uwezo wa simu.Web haifai kama una haraka
Ooh, basi pole yakoHongera, mimi tatizo linakuja na kutoka
asante sana chief.Pole sana mkuu.
Karibu sana lindoni
Pole sana ticha, pumzika kwa amani!Hahaha kumbe ushausoma mchezo, nina uchovu usio wa kawaida sema Leo kumechangamka sana. Ngoja nipumzishe bawaba zangu sasa.

Hongera aise. Na inanigomea Ku install upyaKwangu tatizo la notification halipo, na mshukuru mp wangu
Asante sana, Maserati.karibu sana
Oohoo!Namtetea zipo safi kabisa

Utafanya jaribio la kuomba msamaha ukipata nusu ya marks zote umesamehewa.Kufanya kosa sio kosa, kosa kurudia kosa. Nisameheeni walimu wangu wapenzi
SawaNgoja tulipeleke suala lako kamati ya nidhamu, majibu yako kesho.

Napitwa ile mbyaaNitafanyaje jf version mpya ni mbaya hatariiiii. Na sitaki nipitwe huku
AsanteOoh, basi pole yako