jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
kumbuka majibu yako siku ile![]()
Lete barua yangu kwanza
BTW nimekuhamu sanamy kaka loooh
kumbuka majibu yako siku ile![]()
Lete barua yangu kwanza
Ndio maana juzi sikukusemelea kwa best angu IceMie ninaupendo sana mydear, sema tuu watu hawanielewi. Siunakumbuka ile list tena hakuna popo niliyemuacha. Haki nyie ni watu wangu wa nguvu
Eti kuna wasio penda asali dahUkionja asali shuruti utengeneze na mzinga wa nyuki
I miss youKoh koh koh
Hahaha na kweli spidi ya Leo sio ya kawaida kabisa, ni zaidi ya 10G kiukweli nafarijika sana nikiona hivi.Kiongozi wangu mkuu karibu tena tumerudi kwa fujo na himbio sio za nchi hii
Pole sana, mimi zinamwagika sanaJamani sipati notification kwa jf app![]()
Umefanyeje et?Nimekuma uchochezi tangu jana, masna si kwa kushushuka kule, ilinibidi niondoke kimya kimya bila kupenda.![]()
![]()
Pole chief, umetibiwa ss?Jamani nimechelewa lindo naumwa hatariii
Karibu tena mkuuNliwamis sana watchmen .. Nlikumbushwa umuhimu wa usingiz nikawakimbia kidogo, nafurahi walau kwa dk kadhaa niwasalimu hapa.
Pole sana. Ila naomba uniwekee hapa kale kawimbo ka Asley maana na mimi yamenikutaJamani nimechelewa lindo naumwa hatariii

Acha tu kuna watu wana nyota sio sayari hiiHahaha na kweli spidi ya Leo sio ya kawaida kabisa, ni zaidi ya 10G kiukweli nafarijika sana nikiona hivi.
Pole mpenzi, nilikuwa nakuombea hapa ujue, Vipi unaendeleaje lakini?Jamani nimechelewa lindo naumwa hatariii
Baba chanja ujue tutagombana mie na wewe sasa!!!![]()
![]()
![]()
Ushashuhudia mkubwa akimuamkia mdogo na anajua?
Aisee.Mi nadhani nimebomoa mzinga
WeweeeeeeNdio![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Na unyamaze hivyo hivyo
Kwanini??Jamni hii speed inanishinda