Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,564
MmmmhhhSijambo shikamoo dada
MmmmhhhSijambo shikamoo dada
Kichwa Kichafu njoo huku unaitwaMwifwa![]()
Najikuta nakuhamu tu
NdioHujachangia kweli saa mbili leo
Nimeona nyayo za nganengo leoAsante kwa kunihamu dear! Vp kaka yako Nleterewa Nganengo, yeye hajanihamu?
SawaNashangaa bado
Hawez sema hayo maneno kwangu.Asante kwa kunihamu dear! Vp kaka yako Nleterewa Nganengo, yeye hajanihamu?
Poa za kwako?Sijambo! Mambo?
Wacha nimsaidie kuweka mieMwambie shemejio atuwekee na wimbo wa Asley![]()
![]()
![]()
Me tooNimekumiss
Njema tu za uwepo wako?Baba chanja,za utokako?
Ney my dear! Nashukuru kwa kunitoa kimaso maso siku ya wapenfanao. Ulinithibitishia kuwa dunia nzima ni wewe pekee unayenipenda. Shukrani sanaMwanafunzi wangu mbona hujahudhuria class?
Au hupendi MEMKWA?
Equation balancedNimekumiss
Hivi zile kuni za jana hazijalowa na mvua??Kichwa Kichafu njoo huku unaitwa![]()
![]()
![]()



Nasikia raha uwepo wako zama zisharudi ujue ha ha haaaSijambo shikamoo dada
Asante kwa kunihamu dear! Vp kaka yako Nleterewa Nganengo, yeye hajanihamu?

Wacha wee ...Wacha nimsaidie kuweka mie
Wasikusingizie ukahitajika kwa yule bwana misifa nduguWatu wanasema eti nilijiteka.